leo siku ya jumamosi tarehe 22 april,2017 umeshuhudiwa ule uzinduzi wa kampeni kabambe iliyoandaliwa na Saidi Fella.
Aidha diwani huyo wa Kata ya Kilungule "Said Fela" maarufu kama "Mkubwa Fella" wa mkubwa na
wanawe leo amezidua rasmi Program iitwayo ”Tujuane ili tusaidiane”
katika kiwanja cha Kilungule.
Fella
ameeleza kuwa Project hiyo ina lengo la kuwasaidia wakazi wa maeneo
hayo katika maendeleo, kuanzia ngazi ya kata ili kuweza kuijenge nchi
kimaendeleo.
‘Tujuane
ili Tusaidiane’ ni kama kusema asante kwa wananchi walionichagua.
Huwezi kuenda nyumba moja moja kusema asante, lakini kupitia mradi
huu ni kama njia mojawapo kuwafikia watu wangu na kuwashukuru ”
ameeleza Said Fella
No comments:
Post a Comment