Rais
wa wasafi Chibu,leo afunguka kwenye XXL ya Clouds FM ,kuwa baada ya
kolabo za kimataifa kwa sasa anatarajia kuangusha ngoma kali na staa
wa ndani,Diamond na team yake ambao bado wapo kwenye zoezi la
kusambaza bidhaa yake ya perfume (Chibu Perfume) na kuzungumzia mengi
kuhusiana na bidhaa hiyo.
“Diamond plutnumz”
aliulizwa kuhusiana na tetesi ambazo zinaenea kwamba kuna ngoma yake
ambayo amemshirikisha “rapa Young Killer”. Diamond
amethibitisha kuwa tetesi hizo ni za kweli na kuahidi kuwa ni bonge
la ngoma kwasababu Young Killer amefanya bonge moja la verse kwenye
ngoma hiyo
pia amesisitiza kuwa
wimbo wao umeshakamilika na mashabiki wakae mkao wa kupokea kitu
kizuri toka kwao,ambapo wanasubiri kukamilika kwa video ya wimbo huo
ili iachiwe rasmi.
No comments:
Post a Comment