• DON'T MISS

    *****ADVERTISE HERE WITH US*****

    *****ADVERTISE HERE WITH US*****
    RABA CLASSIC

    Thursday, 13 April 2017

    Ben pol na Jux kwenye list ya MTV Base

    Muziki wa bongo fleva uzidi kukua kila siku na yote ni kutokana na juhudi za wasanii kutoa kazi bora zinazokubalika sio tu na mashabiki wa nyumbani bali na mashabiki nje ya Tanzania, ikiwemo Africa na dunia kwa ujumla.
    Kituo cha runinga cha MTV Base kimetoa list ya Wasanii wanne wa R&B (East Africa) Wa Kuwasikiliza Zaidi Kwenye Playlist Za Muziki‘ iliyowahusisha wasanii wawili “Ben Pol na Jux”
    Kwa mujibu wa mtandao huo muziki wa East Africa ni muziki unaokua kwa kasi na kwa kiwango cha hali ya juu huku asilimia kubwa ya muziki huu ukibebwa na miondoko ya R&B..

    “East Africa is churning out some seriously good music right now and a lot of it is coming in the R&B sector. If you’re excited about the future of this genre, we’ve compiled a list of four R&B singers that you need to add to your library”.

    Imesemwa kuwa: Ben Pol – Tanzania: Ben has been widely hailed as Tanzania’s “King of R&B” and with good reason too. His lengthy career has seen his name gain recognition around the continent and he’s definitely one of the strongest artists in his country


    Juma Mussa (JUX) :Tanzania Last but not least we have Juma Mussa AKA Jux. JUX has been on the scene for a minute and recently recorded a single with Vanessa Mdee.

    No comments:

    Post a Comment