• DON'T MISS

    *****ADVERTISE HERE WITH US*****

    *****ADVERTISE HERE WITH US*****
    RABA CLASSIC

    Sunday, 30 April 2017

    Bayern Munich ajinyakulia kombe mapema kwa kuichapa Wolfsburg 6-0.

    Baada ya Wolfsburg kuchapwa bao 6-0, Bayern Munich yakuchukua tena ubingwa wa ligi ya Ujerumani “Bundesliga” ambapo wamekamilisha mara ya tano mfululizo kunyakua kombe hilo tangu 2013/14/15/16-2017.


    Wakati Bayern wakichukua ubingwa,Michezo mingine iliyoshika hatamu kidunia ni pamoja na ligi huko Hispania ,wale magwiji wa La liga Real Madrid na Barcelona mambo bado mshikemshike katika kuwania ubingwa wa La Liga msimu huu.

    Real Madrid waliichapa Valencia mabao 2-1, Luis Suarez alifunga mawili na Ivan Rakitic moja na kuifanya Barcelona wao waliwachapa bao 3-0 Espanyol.hivyo kutokana na matokeo haya Barcelona yaongoza msimamo wa ligi kwa tofauti ya magoli dhidi ya Madrid.

    No comments:

    Post a Comment