Rais
Magufuli ameutumia ukurasa wake wa twitter katika kufikisha ujumbe
kwa watanzania wote katika kutambua,fursa iliyopatikana kwenye mradi
huo wa bomba la mafuta ghafi unaoanzia Hoima-Uganda mpaka maeneo ya
bandari ya Tanga nchini Tanzania.
“Nchi
yetu imepata mradi mkubwa wa bomba la mafuta ghafi kutoka
Kabaale/Uganda hadi Tanga/Tanzania,ni fursa kubwa ktk kuujenga uchumi
wetu1/3”
“Mradi
huu ni kielelezo tosha cha muendelezo wa ushirikiano wa nchi zetu
mbili na hasa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki. 2/3”
“Wito
wangu kwa watanzania wote ni kuchangamkia fursa hii kipindi cha
ujenzi na uendeshaji wa mradi huu. Mungu Ibariki Tanzania. 3/3”
ameandika Rais Magufuli.
No comments:
Post a Comment