Leo
Mei 29,2017 Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amemuapisha Simon
Sirro kuwa Mkuu wa Jesho la Polisi Tanzania (IGP).
Ambapo uteuzi wake
uliwekwa bayana jana Mei 28. IGP Sirro ambaye alikuwa mkuu wa polisi
kanda maalumu ya Dar es salaam amechukua nafasi ya Ernest Mangu,mara
moja baada ya kuapishwa kwake.
No comments:
Post a Comment