Man united wamepata ushindi huo ambao umewawezesha kupanda hadi nafasi ya tano katika msimamo wa ligi.
Mchezaji wa Sunderland Sebastian Larsson alipewa kadi nyekundi alipomchezea vibaya Ander Herrera,hivyo kukifanya kikosi kucheza na wachezaji pungufu,
"Zlatan Ibrahimovic" aliwapatia Man U bao la kuongoza,ambapo bao la pili lilifungwa na "Henrikh Mkhitaryan" huku "Marcus Rashford" akifunga bao la tatu.
Sunderland wanatafuta pointi 10 kujinasua na kushuka daraja kutoka ligi kuu wakiwa na mechi 7 pekee za kucheza wakiwa hawajafunga goli katika mechi saba.

No comments:
Post a Comment